Fid Q: Rado ni msanii pekee aliye ni-diss kwa mistari mikali kuliko msanii yeyote

....teh teh teh..na una hakika sio matusi kwa lugha ya wenyewe? huyo kwenye avatar ndo wewe na sie tuanze "makeke yetu!?"
Hahahah! Sio matusi mkuu,na huyu kwenye avatar ni Zuhura yunus wa BBC,tafadhali msianze makeke.
 
Hahahah! Sio matusi mkuu,na huyu kwenye avatar ni Zuhura yunus wa BBC,tafadhali msianze makeke.
....teh teh teh...kama mnashabihiana na dress code ipo kama hivyo makeke lazima,hakuna namna!
....naona tayari yamekwishaanza!
...cc: AgentX!
 
Sihitaji marafiki wa FidQ si wimbo wa mwaka juzi huu! Hii habari ya lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…