Fid Q: Rado ni msanii pekee aliye ni-diss kwa mistari mikali kuliko msanii yeyote

Fid Q: Rado ni msanii pekee aliye ni-diss kwa mistari mikali kuliko msanii yeyote

....teh teh teh..na una hakika sio matusi kwa lugha ya wenyewe? huyo kwenye avatar ndo wewe na sie tuanze "makeke yetu!?"
Hahahah! Sio matusi mkuu,na huyu kwenye avatar ni Zuhura yunus wa BBC,tafadhali msianze makeke.
 
Sihitaji marafiki wa FidQ si wimbo wa mwaka juzi huu! Hii habari ya lini?
 
Back
Top Bottom