Mchajikobez huwezi nielewa na huwezi muelewa Fid Q ndo maana nikasema wewe endelea kumsikiliza ney. huyo ndo anakufaa. music una mambo mengi. hufaham hata mipasho ni nini. Fid Q hana anayemzungumzia anazungumzia maisha kwa ujumla na dno maana watu wengi wanaweza hisi na kujihisi wanasemwa au anasemwa flani lakini ushahidi huwezi pata.hip pop ya akina Tupac ilikuwa ni ya Beef ambazo karne hazihitajiki na zinaua music. hazina manufaa kwa jamii. sasa wewe unataka watu warudi tena huko? unakosea. wasanii wasio na akili wanadhani hip pop ni kutukanana n.k hapana. Fid Q anazungumza kitu kilicho wazi kabisa katika jamii. anaposema kuwa hujiulizi kwa nini ng'ombe anakula majani na anatoa maziwa. unapaswa uwe umetulia ukajiuliza hilo swali. ana maneno mengi ambayo ni mpaka uwe na akili ndo uelewe.
napokwambia kuwa ni fasihi na wewe unabisha nagundua kuwa hii ni level ya juu kwako maana hujui kuwa music ni moja ya genres za literature na huko kuna lugha za picha,misemo na nahau. lazima music uwe tofaut na risala. wasioweza fikiria wasio na akili huwa wanaandika risala ambayo si ngumu.ila kufikiria kupata maneno yenye maana ni ngumu inataka uwe na akili.