Fid q- ukijikuna makali usikate kucha kwa mdomo(Kiberiti)

umeanza vizuri lakini hapo mwisho umeharibu" nay wa mitego" sio msanii wa hip-hop " so acha kufananisha hip Hop navitu vya kijinga
 
kumwelewa Fid Q UNATAKIWA UWE NA AKILI.ukiwa huna humwelewi kabisa. ni mtu mwenye falsafa. huyo ney ni mtu ambaye hawezi fikiria kama anavyofikiria Fid Q sababu upeo wake na Elimu ni ndogo . nyimbo za FID Q zina meseji kama ambazo alikuwa anaimba BOD Marley. FID hana mipasho.. anatumia fasihi hivyo wewe msikilizaji unaweza tafsiri inavyokufaa. only if you are intelligent. otherwise you wont understand him. mi nakushauri endelea kuwasikiliza akina ney.

 
Hamna fasihi yoyote,hip hop ni mziki wa ukombozi na ndio lengo kamili,unapotaka kujikomboa hupaswi kuficha ficha,sikiliza waanzilishi wore wa hip hop uone Kama walikuwa wanatumia lugha za kuficha,Kama unamzungumzia sungura unapaswa umtaje sungura na sio tembo eti mpaka mwenye akili ndio ajue kuwa unamzungumzia sungura,taarab ndio nyimbo zinazostahili fasihi sababu ni mipasho
 
Mchajikobez huwezi nielewa na huwezi muelewa Fid Q ndo maana nikasema wewe endelea kumsikiliza ney. huyo ndo anakufaa. music una mambo mengi. hufaham hata mipasho ni nini. Fid Q hana anayemzungumzia anazungumzia maisha kwa ujumla na dno maana watu wengi wanaweza hisi na kujihisi wanasemwa au anasemwa flani lakini ushahidi huwezi pata.hip pop ya akina Tupac ilikuwa ni ya Beef ambazo karne hazihitajiki na zinaua music. hazina manufaa kwa jamii. sasa wewe unataka watu warudi tena huko? unakosea. wasanii wasio na akili wanadhani hip pop ni kutukanana n.k hapana. Fid Q anazungumza kitu kilicho wazi kabisa katika jamii. anaposema kuwa hujiulizi kwa nini ng'ombe anakula majani na anatoa maziwa. unapaswa uwe umetulia ukajiuliza hilo swali. ana maneno mengi ambayo ni mpaka uwe na akili ndo uelewe.

napokwambia kuwa ni fasihi na wewe unabisha nagundua kuwa hii ni level ya juu kwako maana hujui kuwa music ni moja ya genres za literature na huko kuna lugha za picha,misemo na nahau. lazima music uwe tofaut na risala. wasioweza fikiria wasio na akili huwa wanaandika risala ambayo si ngumu.ila kufikiria kupata maneno yenye maana ni ngumu inataka uwe na akili.

 
Asipoelewa hapa, ndo basi tena.
 
"Sina mistari *****, nikikuchana nakutag!" DARASA
 
Wewe una ubishi wa hasili na bila shaka utakuwa muha...
 
Wimbo mzuri , ila binafsi nimeshangaa maneno mengi katika beti ya mwisho, kwa maoni yangu ingechana tena tuu
 
Wanapagawa na baadhi ya mambo ambayo nayajua , pia na uwezo wa kufanya mpaka madawa yakaugua!...

By fid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…