central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 146
- 215
Nani Kwanza kasema hivo???
Wadau me Naleta hoja kwenu, kuna watu naona wanaleta list tofauti za wana hiphop kila mtu na mtazamo wake anavyoona yeye, lakini kinachonichanganya kuna baadhi ya watu wanasema kuwa Ngwair alikuwa ni zaidi ya Fid Q kitu ambacho kwangu sijawahi kukubaliana nacho. Maana kwa mtazamo wangu sidhani kama kuna rapa kweli anamuweza Farid kwa uandishi.
Jamaa anayo IQ kubwa sana, mimi nataka mnifundishe hiphop, kama nakosea nataka mnielekeze Ngwair alikuwa anamzidi Fid katika category gani?
uyu jamaa kamaliza kila kitu kwa mstari mmoja tu.Kwenye freestyle, ngwair alimzidi Fareed.
Uzito wa mashairi unamaanisha misamiati, misemo na quotes za kwenye vitabu?Kwa uzito wa mashairi fareed hana mpinzani bongo
Namkubali Farid ila Ngwea ni mkali kuliko Farid. Unapozungumzia IQ Ngwea yupo mbele ya Fid Q. Ukimsikiliza Ngwea ngoma zake anaandika flows yani bar after bar zinatililika. Fid hawezi kufanya hata storytelling.
Wadau me Naleta hoja kwenu, kuna watu naona wanaleta list tofauti za wana hiphop kila mtu na mtazamo wake anavyoona yeye, lakini kinachonichanganya kuna baadhi ya watu wanasema kuwa Ngwair alikuwa ni zaidi ya Fid Q kitu ambacho kwangu sijawahi kukubaliana nacho. Maana kwa mtazamo wangu sidhani kama kuna rapa kweli anamuweza Farid kwa uandishi.
Jamaa anayo IQ kubwa sana, mimi nataka mnifundishe hiphop, kama nakosea nataka mnielekeze Ngwair alikuwa anamzidi Fid katika category gani?
We jamaa hujui chochote kuhusu mziki yaani ni mweupe kama plain paper....Uzito wa mashairi unamaanisha misamiati, misemo na quotes za kwenye vitabu?
Unaweza nitajia wimbo wa Fid Q wenye mashairi mazito kushinda walau jina langu ya Prof Jay?
Acha uongo we jamaa ..Namkubali Farid ila Ngwea ni mkali kuliko Farid. Unapozungumzia IQ Ngwea yupo mbele ya Fid Q. Ukimsikiliza Ngwea ngoma zake anaandika flows yani bar after bar zinatililika. Fid hawezi kufanya hata storytelling.
Kwa mujibu wa paragraph ya kwanza . Msanii mwenye iq kubwa ya hip hope mpaka sasa kwa mujibu wa utafiti nilioufanya. Hakuna kama prof J .