Msuli wa mbu
Senior Member
- May 4, 2021
- 146
- 485
Verse yako bora ya hip hop ni msela ya ngwair???? . Daah . Umeshinda tajiriFidi kyiu hana vina vya moja kwa moja ndio maana hawezi firiistaili ila ana vina vya saundi, ngwea ana kila kitu kwenye bongo fuleva na hipopu ya bongo.
Gwea anamuacha mbali sana fidi kyiu kwa sitaili ya kulapu ni sawa umfananishe eminemu na tupaki
Eminemu anaweza sitaili ya kurapu
Ila Tupaki ndio hipopu yenyewe.
Kila mtu ni bora kwenye upande wake
Kama huamini sikiliza CNN ya ngwea
Vesi yangu ya hipopu ya muda wote Ni "msela" gwea ft. Jumanecha na keiara.
Ukianza kubishana na watt ambao hawasikilizi hip hop utagundua kwann hip hop ni ngumu kuliko hesabu . Achana nao . Mtoto mmoja ananijibu comment hip hop yenyewe hawezi iandika anaandika ipapu hahaha .. anasema verse yake bora ya muziki hip hop ipo kwenye nyimbo msela ya ngwair na nature [emoji23][emoji23][emoji23]. Waache wawasilikize akina marioo hizi hesabu za magazijuto watuachie wenyeweAcha uongo we jamaa ..
Au huenda IQ yako ni ndogo Sana Fid hawezi kufanya storytelling hivi unaijua Ngoma ya Ripoti za mitaani ya Fid Q na Zahir Zorro??? [emoji2]
Usitudanganye
HahahahahhhahahahaahahhaWe jamaa hujui chochote kuhusu mziki yaani ni mweupe kama plain paper....
Nilizani walau ungetaja nang'atuka hapo ndo kidogo Jay aliumiza kichwa au sauti ya gheto lakini hizo Ngoma zote hazifiki hata robo ya mashairi adimu yaliyomo kwenye Ngoma ya ielewe mitaa ya Fid
Hiyo interview ya KR Mullah nami nimewahi kuisikia.Fid anasema ile ngoma ya Ccn ngwair aliiandikia studio[emoji91][emoji91][emoji91]. Na niliwahi kumsikia KR Mullah akihadithia jinsi ngwair alivyofreestly ngoma ya Msela, alifreestyle mara ya kwanza P funk hakurekodi, Akafreestyle mara pili mistari tofauti na ile ya kwanza ndio huu wimbo huu wa msela tulionao leo, jama hakuandila popote
Fid hawezi storytelling? Report za mtaani ft Zahir Ally Zorro ilikuwa nini? Kwa upande wangu Ile Ngoma ni miongoni mwa Ngoma kali za muda wote as far as storytelling is concerned!Namkubali Farid ila Ngwea ni mkali kuliko Farid. Unapozungumzia IQ Ngwea yupo mbele ya Fid Q. Ukimsikiliza Ngwea ngoma zake anaandika flows yani bar after bar zinatililika. Fid hawezi kufanya hata storytelling.
Hii kauli ya Fid kwamba alilazimika kufuata verse sababu aliona kama Ngwair kaumiza Sana watu huwa wanaitumia Sana kuonyesha Fid sio chochote mbele ya Ngwair! Kufuta verse kawaida, Sanaa sio hesabu kuwa unakomaa tu na formula Hadi upate jibu. Sanaa ni hisia, state of mind uliyonayo kwa muda huo Ina mchango mkubwa katika kukufanya uandike Ngoma kali au mbovu! Sometimes inakuwa tu na siku mbaya kazini na ukimsikiliza mwenzako halafu ukijisikiliza wewe unaona kabisa umefichwa unaamua kwenda chombo Tena kuumiza ndonga! Hata kwenye Ngoma ya Mtazamo (haijawa confirmed) story zinasema Jay ilibidi aingize vocal mara kadhaa Ili uzito WA mashairi uendane na wenzake!
[ICOD[/ICODE]li ya Fid kwamba alilazimika kufuata verse sababu aliona kama Ngwair kaumiza Sana watu huwa wanaitumia Sana kuonyesha Fid sio chochote mbele ya Ngwair! Kufuta verse kawaida, Sanaa sio hesabu kuwa unakomaa tu na formula Hadi upate jibu. Sanaa ni hisia, state of mind uliyonayo kwa muda huo Ina mchango mkubwa katika kukufanya uandike Ngoma kali au mbovu! Sometimes inakuwa tu na siku mbaya kazini na ukimsikiliza mwenzako halafu ukijisikiliza wewe unaona kabisa umefichwa unaamua kwenda chombo Tena kuumiza ndonga! Hata kwenye Ngoma ya Mtazamo (haijawa confirmed) story zinasema Jay ilibidi aingize vocal mara kadhaa Ili uzito WA mashairi uendane na wenzake!
Hiyo stori ya Jay ni kweli binafsi niliwahi kumsikia akikiri hilo la kubadilisha mistari. Tunaweza kutofautiana mawazo ila hilo haliondoi uwezo wa Ngwair kwenye tasnia. Jamaa alikuwa na uwezo wa kipekee sana. Fid anaweza kuwa na div 1 ya point 3 ktk muziki, ila A zake ndio zile za 85 ila Ngwair ana zile A za 100. Msonge juu ya msonge.Hii kauli ya Fid kwamba alilazimika kufuata verse sababu aliona kama Ngwair kaumiza Sana watu huwa wanaitumia Sana kuonyesha Fid sio chochote mbele ya Ngwair! Kufuta verse kawaida, Sanaa sio hesabu kuwa unakomaa tu na formula Hadi upate jibu. Sanaa ni hisia, state of mind uliyonayo kwa muda huo Ina mchango mkubwa katika kukufanya uandike Ngoma kali au mbovu! Sometimes inakuwa tu na siku mbaya kazini na ukimsikiliza mwenzako halafu ukijisikiliza wewe unaona kabisa umefichwa unaamua kwenda chombo Tena kuumiza ndonga! Hata kwenye Ngoma ya Mtazamo (haijawa confirmed) story zinasema Jay ilibidi aingize vocal mara kadhaa Ili uzito WA mashairi uendane na wenzake!
PropagandaUzito wa mashairi unamaanisha misamiati, misemo na quotes za kwenye vitabu?
Unaweza nitajia wimbo wa Fid Q wenye mashairi mazito kushinda walau jina langu ya Prof Jay?