loveness love
Senior Member
- Jan 13, 2011
- 148
- 8
Kiukweli sikufahamu ila kutokana na majambozii ya jf yananifanya nitamani kukufahamu haswaa.Sifa zako za vyupa zinaniiiii furahisha.
Napenda kukualika katika sherehe ya graduation ya binti wa sister angu na vilevile ningefurahi zaidi endapo ungekubali cheo ambacho nataka kukutunuku kwa siku maalum nataka uwe mwenyekiti wa vinywaji kaaaaaribu
Mie usiniache swit, huyu loveness huyuHahahaha dah nitashukuru kama mtanipa na idadi ya marafiki zangu wapiga ulabu nije nao
Kiukweli sikufahamu ila kutokana na majambozii ya jf yananifanya nitamani kukufahamu haswaa.Sifa zako za vyupa zinaniiiii furahisha.
Napenda kukualika katika sherehe ya graduation ya binti wa sister angu na vilevile ningefurahi zaidi endapo ungekubali cheo ambacho nataka kukutunuku kwa siku maalum nataka uwe mwenyekiti wa vinywaji kaaaaaribu
Hahahaha dah nitashukuru kama mtanipa na idadi ya marafiki zangu wapiga ulabu nije nao

hahahaha hommie naona dodo chini ya mbuyu... Angalizo: Usije ukaota tena!!
AAA usijali mbona mabo madogo hayo.
loveness kwenye red mhhh, na hilo jina lako
we Damie kwani vipi?
hahahaha hommie naona dodo chini ya mbuyu... Angalizo: Usije ukaota tena!!
Kutakuwa na vinywaji aina mbali mbali? Jamaa angu Kimey anakunywa Gongo lazima nije nae
Si tunapita kwanza pale mjengoni
Ama, hivi ndivyo ilivyo?