Fidel 80 usikatae tafadhali

Fidel 80 usikatae tafadhali

loveness love

Senior Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
148
Reaction score
8
Kiukweli sikufahamu ila kutokana na majambozii ya jf yananifanya nitamani kukufahamu haswaa.Sifa zako za vyupa zinaniiiii furahisha.

Napenda kukualika katika sherehe ya graduation ya binti wa sister angu na vilevile ningefurahi zaidi endapo ungekubali cheo ambacho nataka kukutunuku kwa siku maalum nataka uwe mwenyekiti wa vinywaji kaaaaaribu
 
Hahahaha dah nitashukuru kama mtanipa na idadi ya marafiki zangu wapiga ulabu nije nao
 
Duuuu! Yani hapo ndo unaharibu sherehe kabisaaaa! yan unampa huyo sector ya Vinywaji? Ok, nimekumbuka sasa ulisema vinywaji ni MAJI tu. Kwa hiyo Fidel 80 bado utaenda? au umehairisha!!
 
Kifo cha mende miguu juu.
Fidel nenda mheshimiwa, kilaji kikipanda jihudume aliye karibu yako.
 
Haaa! sherehe itaharibika? Halafu vinywaji ni aina zote bana
 
Hahahaha dah nitashukuru kama mtanipa na idadi ya marafiki zangu wapiga ulabu nije nao

hahahaha hommie naona dodo chini ya mbuyu... Angalizo: Usije ukaota tena!!
 
Kiukweli sikufahamu ila kutokana na majambozii ya jf yananifanya nitamani kukufahamu haswaa.Sifa zako za vyupa zinaniiiii furahisha.

Napenda kukualika katika sherehe ya graduation ya binti wa sister angu na vilevile ningefurahi zaidi endapo ungekubali cheo ambacho nataka kukutunuku kwa siku maalum nataka uwe mwenyekiti wa vinywaji kaaaaaribu

loveness kwenye red mhhh, na hilo jina lako
 
finest nataka nikuulize swali.... huyu loveness naona kafanana fanana na michelle... eeenhee??? ngoja nimshtue damie hapa akae sawa sawa.... afunge na belt... ndege yataka ruka hiyo...
Si tunapita kwanza pale mjengoni
 
Back
Top Bottom