Fidel 80 usikatae tafadhali

Fidel 80 usikatae tafadhali

Naona Asprin amesema mtakuja wote nafikiria kukata jina lako na kuweka jina la mtu mwingine

Nikiwa na Babu hapataharibika kitu, hata ukikata jina langu utatukuta. Busara za Babu mwenyewe utafungua mlango.
 
Yaani mtu asijidanganye kuongea siri na mtu hapa, wala kuthubutu kutongoza! Unaweza kujikuta unatongoza ID mbili kumbe mtu ni yuleyule au ukatongoza ID ya kike, kumbe mwanaume wa hapa hapa
:suspicious:
 
Mmmmmmh! Kanaonekana ni kamemba kapya kwa Join Date tu lakin mambo yake . . . ka ID mpya ya mtu MZOEFU SANA HAPA.
Mbona kule jukwaa la kukaribisha wagen sijamuona akipita?? Kadandia gari la mtu huyu
:lying::loco::loco::loco:

Mmmmmmmmmmm!! nini tena? Nilikaribishwa na my dear Paka jimy na masharti juu. Mr CPU, hata mzee mwenye busara anatambua.
 
Hommie najua kwenye meza yako kuna faili langu sasa nitakuendea hewani baadae maana naona ile kesi inataka kunitokea puani
Hommie itabidi u call ili nilipitie tuweke mambo sawa...hatushindwi kitu banaaa!!
Wazamiaji tena!!.......mwambie anitayarishie Safari za moto, ziwe zimekaa si chini ya miezi sita (sitaki bia mbichi mm).
Safari za pale Changarawe ukiifungua harufu mpaka kwa Fr. Goletto.
hapo kwenye RED hamsini hamsini mbili zinahusuka muulize Fidel analijua hiloo!
Wewe utakuwa wa kwanza wa pili Kimey bado list naiandaa
Thanx hommie kwa kujali maslai yangu......
Duh itakua bonge la sherehe yani njooni kwa mpwa wenu ila gongo sasa cjaelewa hakutakua na mashindano ya kupiga mdudu wala panya nisherehe tu kunywa na kucheza so gongooo!!! ngoja nifikirie
Worry not babe furaha yako ndo furaha yetu....lazima nimpe kampani mpwa wangu...hawezi kuachia bahati ka hiii..
 
Yaani mtu asijidanganye kuongea siri na mtu hapa, wala kuthubutu kutongoza! Unaweza kujikuta unatongoza ID mbili kumbe mtu ni yuleyule au ukatongoza ID ya kike, kumbe mwanaume wa hapa hapa
:suspicious:

Kuna mtu alijaribu kuapply hii kitu If you cant convince them, CONFUSE THEM" ikamshinda
 
sawa sawa kabisa..... hakuna uswahiba ... kwa sababu at dah end of the day warudi mikono mitupu mi yeshanifika hayo.... be carefull all da best na hivyo vinywaji usinisahau uchukue na kimfuko kidogo cha akiba..
Nilham leo wanifurahisha, mie hao ninao tu. hanizidi mtu hapo
 
haYa muheshimiwa umesha kuwa invited
nenda kapata kinywaji tu huko.
 
Yaani mtu asijidanganye kuongea siri na mtu hapa, wala kuthubutu kutongoza! Unaweza kujikuta unatongoza ID mbili kumbe mtu ni yuleyule au ukatongoza ID ya kike, kumbe mwanaume wa hapa hapa
:suspicious:
Vp comrade yamekukuta nini?
 
Namtafuta Smiles (my protectee) twende kwenye part ya Loveness love....sijui nani kamuona?
 
Naona Asprin amesema mtakuja wote nafikiria kukata jina lako na kuweka jina la mtu mwingine

FL80 kwani vipi jamani wewe ni mwenyekiti wa vinywaji,Sasa wivu unakujaje kwa Asprini na Damie? Mie nawewe tutasaidiana kwenye vinywaji
 
Back
Top Bottom