Fidel Castro:Mbuyu uliowashinda wamarekani

Fidel Castro:Mbuyu uliowashinda wamarekani

CIA imechemka mara 643 kumuua raisi huyuRaisi wa tatu(3) duniani kukaa muda mrefu madarakaniAvunja rekodi kuhutubia saa 7 bila kupumzika.
duniani waongezeke wengine kama(Castro)amani itapatikana,Chavez,Ahmednejad wanajaribu
 
CASTRO ana sapoti ya wananchi wake.....! ila ndani ya wananchi wake wapo pia vibaraka wasiomtaka
 
je CUBA Kuna HIV/AIDS....? TOA TAKWIMU SAHIHI NA TUJIFUNZE...!
 
Cuba wameanza kutumia Internet na mobile phones baada ya mdogo wake Raul Castro kuchukua nchi. Kimsingi kwa mambo mengine Fidel alikuwa Ana over react kama vile kuwanyima uhuru Wa habari wananchi wake
 
Naye amesepa ameogopa kasi ya dude trump lingemmaliza!
 
Back
Top Bottom