Fidelin mafundisho gani haya?

Fidelin mafundisho gani haya?

kubwalamaadui

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
328
Reaction score
51
Ndugu zangu wapendwa katika pitapita zangu kwenye blogs nimekutana na hii picha ya Fidelin,hivi kweli watanzania tumefikia huku?
Fide mimi sio hater ila inabid ujirekebishe sababu wewe ni kioo cha jamii.
 
Attachments

  • FIDELIN+IRANGA4.jpg
    FIDELIN+IRANGA4.jpg
    39.5 KB · Views: 931
sasa chizi anafundishika kweli/? huyo alishajikatia tamaa kitamboooooo, karudi kwao savei sasa hivi. muombee tu kwenye dua zako!
 
sasa chizi anafundishika kweli/? huyo alishajikatia tamaa kitamboooooo, karudi kwao savei sasa hivi. muombee tu kwenye dua zako!

huyu dada kuna kipindi nilikuwa namu-admire ublack byuti wake baadaye nikaanza kumshangaa mabadiliko yake ya sura na anavyojiachia kimavazi na sasa huwa namhurumia....... anaonekana yuko desperate mpaka analazimisha umaarufu..
 
sasa chizi anafundishika kweli/? huyo alishajikatia tamaa kitamboooooo, karudi kwao savei sasa hivi. muombee tu kwenye dua zako!

kweli amepinda,sijui anataka tena kupanda chati kama zamani
 
ni kweli unachosema hata mie hiyo rangi yake inanaifurahsha sana.
sasa sijui nani kamdanganya kupiga haya mapicha na kusambaza kwenye social media
 
Kioo cha Jamii ni Jf TU.
Kukichafuka mtaani na maofisini hata Magogoni Jamii huja hapa kujitazama kwa mazuri na mabaya.

Viva Jf.
 
he he he he mbona alishapotea hewani zamani sana
 
:target:
Ndugu zangu wapendwa katika pitapita zangu kwenye blogs nimekutana na hii picha ya Fidelin,hivi kweli watanzania tumefikia huku?
Fide mimi sio hater ila inabid ujirekebishe sababu wewe ni kioo cha jamii.
anatafuta kick ya kutoka tena
 
Ukimuona sasa humtamani kumtazama mara 2 amechakaa mbaya mwezi uliopita nilimuona kwenye msiba wa mwalimu mndolwa alikuwa mwalimu mkuu mlimani primary sasa wanafunzi wa mlimani walikuwa na umoja wao walikuja na yeye akiwa mmoja wao wanafunzi wote walimshangaa sana alivyokongoroka halafu nasikia alikuwa anatoka na kusaga pia
 
Sasa hiyo si ndio sehemu ya umaarufu sijui fotoshoot kufanyajekufanyaje? Ukiwa maarufu shurti ukae utupu banaa
 
Back
Top Bottom