kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,239
Tafadhali sana muke ya muarabu; usitupandishe mapuresha hapa. JF tunasoma watu wengi, na wengi tumepita hapo.Aliugua kwa muda mrefu sana na kunusurika kurudisha namba kwa Muumba,na inasemekana ni ugonjwa wetu ule.hvyo muweke kwenye maombi yako tu maana sasa kawa kama kadata fulani hivi