Fideline Iranga amekuwaje?

innocent j

Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
58
Reaction score
9


Jamani Fide amepungua hadi amekwisha. Tatizo sijui ni ugonjwa au ndio diet , watu wamjini mtujuze. We unamwonaje kapendeza au kaharibu? Angalia picha nilizoattach

 

Attachments

  • fide.jpg
    12.1 KB · Views: 2,941
  • fide2.jpg
    9.9 KB · Views: 1,589
Swali la kwanza hizo picha ulikuwa unamvizia nini? La pili nakusamehe, back to the topic naona aliamua kuchagua maisha ya heri maisha mafupi yenye raha kuliko marefu yenye shida sasa anataabika maana ukianza kuloose unene more than 10% kwa muda mrefu ni hatari.
 
Duuh, anatisha sio siri.
Kulikoni kajikondesha hivyo?
 
Sijui kama anaumwa au vipi lakini anatisha sana kwa kweli duh?
 
Sitashangaa inno, si unawajua maselebriti wetu walivyo? Akili ziko nyuma dk 10...
Nifanyie sketch diagram hapa, naogopa kufungua attachment maana kila mtu kashtuka
 
Lol, fungua tu ujionee mwenyewe, hafai. Usiombe mtu mnene akonde ghafla bht.
Kwani ni yeye huyo SL? Amekuwa kimodeli kweli au alienda india kama Mustafa Hassanali labda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…