Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Watu wana konda na mengi lakini kibongo bongo mtu akikonda basi ana ngoma, ujinga huu sijui utatuisha lini, hawajui mtu anapitia magumu yapi wao wanajua kukonda ni VVU tu tena unakuta mingine ni misomi lakini bado inateta ujinga.