Fideline Iranga amekuwaje?

Watu wana konda na mengi lakini kibongo bongo mtu akikonda basi ana ngoma, ujinga huu sijui utatuisha lini, hawajui mtu anapitia magumu yapi wao wanajua kukonda ni VVU tu tena unakuta mingine ni misomi lakini bado inateta ujinga.
 
Kuna kipindi alifungua baa ya vinywaji vikali na kiti moto maeneo ya mwenge savei kwa Msekwa....Je alifunga ile baa?
 
Kuna kipindi alifungua baa ya vinywaji vikali na kiti moto maeneo ya mwenge savei kwa Msekwa....Je alifunga ile baa?
Nahisi Ilishafungwa....
Tatizo mtu sjui maarufu Ukifungwa biashara kama hyo tegemea wazee wa Slope maana watakuja sjui wasanii etc wao syo walipaji ni mizingaaaa tu
Kama anty Ezekiel alifungua bar sjui lounge kwa mbwembwe kutwa wanajaaa wasanii Mwishowe yale yale

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ni changa-motto sana
 
Ila Mange ni old school sana kwenye hizi mambo [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…