Fide ni mgonjwa kutokana na habari mashoga zake wakaribu wanzao sambaza na ukweli ni kwamba hataki kukubaliana na hiyo hali na kwend akupata matibabu kwa hiyo anaishia kukonda na kuonekana kituko. Huo ugonjwa si yeye wa kwanza kuwa nao n ahata kaa awe wamwisho angejitokeza au kama hataki kujulikana atafute private hospital akapate tiba. Hizo picha zilipigwa na shoga yake alipoenda kumuona na zikaanza kusambazwa kwenye bb na mwisho wake kuangukia mikononi mwa Mange mama chaumbea aka mdaku wa mji asiyepitwa na jambo. :angry: