Its her,
Aliugua almost mwaka mzima 2011, akawa anauguzwa kwa nduguze Mbezii. Tena alikuwa mkorofi na msumbufu sana, waliomuuguza kweli walipata mtihani. Sasa kaweza simama tena, madai DIET. Si kweli!
Ushauri wa bure kwako FIde.
Mungu kakupa Second Chance katika maisha yako, ishi siku zako ukilishika na kutenda neno lake. Nyoosha mapito yako, tubu na achana na wale marafiki wa zamani, waliokupotosha. Siku za duniani ni chache, za Mbinguni/ahera ni milele. Andaa Makazi yako ya milele sasa!!
KWA MUNGU HAKUNA UMAARUFU