King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Its her,
Aliugua almost mwaka mzima 2011, akawa anauguzwa kwa nduguze Mbezii. Tena alikuwa mkorofi na msumbufu sana, waliomuuguza kweli walipata mtihani. Sasa kaweza simama tena, madai DIET. Si kweli!
Ushauri wa bure kwako FIde.
Mungu kakupa Second Chance katika maisha yako, ishi siku zako ukilishika na kutenda neno lake. Nyoosha mapito yako, tubu na achana na wale marafiki wa zamani, waliokupotosha. Siku za duniani ni chache, za Mbinguni/ahera ni milele. Andaa Makazi yako ya milele sasa!!
KWA MUNGU HAKUNA UMAARUFU
ana uhusiano na Steven Wasira?
this is Cruel!
Usimwambie mwenzio hivi banaa.
ana uhusiano na Steven Wasira?
Ujuzo wango unaishia hapo kwani alikuwa akiuguzwa jirani na kwetu, siwezi toa ushuhuda wa kile alichougua. Ila tu ni one of the "chronic diseases" kama sikosei, as aliumwa "chronically" in a long term.
Namuombea heri na afuate ushauri wangu. Sio ushauri wa hao marafikize wanaomdanganya ajionyeshe kwa watu na ajifanye kajipunguza kwa diet. Wakati mwenzao anadozi bado na hatakiwi kuhangaika na kunywa pombe, wao wanamshikia akili.
Fide mama, kwa roho safi tu, hao hawakutakii mema. Zaidi ukianguka leo watafurahi tu na kuja wamejipodoa msibani ili wapate mabwana wapya.
jamii kwa umbea Hamjambo.yani nawaamkia kabisa..Dada wa Watu haumwi ila ni mambo ya Modeling ili aweze kwenda sawa na ma modo wa kimataifa ilimpasa kupunguza mwili wake.inamaana nyeee mueona hizo tumbona zile za Bday ya Martin kandinda hamujaziweka ambazo anaoneka vizuri kiasi flani.Mshindwe na umbea wenu muwe unatafuta source ya habari na si kuguess tu hapa Nyo******** foooooo
View attachment 50207 Picha ya Fide leo kwenye party ya Martin Kadinda
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmh..................!!!!!!!!!!!!!!!!!!