haya maisha ya sasa jamani there is no way unaweza kaaa ukamnyooshea mwenzako kidole..omba Mungu unavyoweza akupe nguvu na afya njema kwa siku zako apa duniani...unaweza kua unajidai unawako mmoja mwaminifu on the other side anakufanyia featuring...kukaa na kuanza kusemana semana ni ujinga...thread za fide kila leo zinaibuliwa kwani lipi la ajabu hapa ambalo no one of us hajawahi kumbana nalo?naomba tuache unafiki na upuuzi wa kijinga..tumuache dada wa watu aishi maisha yake...cha msingi Fide dada yangu simama na jikubali hali uliyonayo (kama ni kweli una hali iyo)....jipange upya..usiishi kwa kumfaidisha yeyote hapa duniani...fuata masharti uliyopewa na humefikia apo ulipofika kwa sababu ya uoga wako ama kudharau check-up...
kwa wale wenzangu na mie tusiojua status zetu mnaishia kunyoosha na kuanzisha thread daily...kaa chonjo!! at the end hali halisi itakuhukumu tu...there is no way utakwepa hali iyo..nenda kajue afya yako NOW...KUWA NA DOKTA WAKO NA FUATA MASHARTI uishi mda mrefu zaidi happily....n healthy...wapo wengi wanapiga mzigo mjini na hali zao walizijua mapema sio kusubiri kuumwa...............asanteni