Nimefurahi kupata taarifa ya wazee wa tatu wa kikenya kukubaliwa kuishtaki Serikali ya Uingereza kutokana na
mateso waliyoyapata wakati wa Ukoloni. Inavyoelekea wazee hawa wanaweza kushinda na kulipwa fidia na Serikali ya Uingereza fedha ambayo natumaini itakuwa nyingi.
Nina amini kabisa na huku Tanzania kuna uwezekano wa kuweza kuanzisha kesi kama hiyo.
Wanasheria wa tz naamini hamtaweza kukosa ground za kufungua kesi ya madai kama walivyofanya wakenya.
changamkieni hilo dili. kwa habari zaidi http://www.bbc.co.uk/swahili/medianuai/2012/10/121008_kesi_maumau.shtml