Fidia kutokana na mateso ya wakoloni

Fidia kutokana na mateso ya wakoloni

evangelical

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
5,035
Reaction score
8,218
Nimefurahi kupata taarifa ya wazee wa tatu wa kikenya kukubaliwa kuishtaki Serikali ya Uingereza kutokana na
mateso waliyoyapata wakati wa Ukoloni. Inavyoelekea wazee hawa wanaweza kushinda na kulipwa fidia na Serikali ya Uingereza fedha ambayo natumaini itakuwa nyingi.
Nina amini kabisa na huku Tanzania kuna uwezekano wa kuweza kuanzisha kesi kama hiyo.
Wanasheria wa tz naamini hamtaweza kukosa ground za kufungua kesi ya madai kama walivyofanya wakenya.
changamkieni hilo dili. kwa habari zaidi
http://www.bbc.co.uk/swahili/medianuai/2012/10/121008_kesi_maumau.shtml
 
mbona walishashinda na kinachosubiriwa ni takwimu na kulipwa au hii nalo lingine by the way ata wazee wetu wakiamua wanaweza.
 
watanzania hawawezi sababu ukoloni bado unaendelea.mwenye macho haambiwi tazama
 
Back
Top Bottom