Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huna comprehensive huo ni msala.Jamani wanajamvi habarini za muda huu. Naombeni msaada kuhusu fidia ya kulipia gari lililogongwa na sheria inasemaje kuhusu matengenezo ya magari yaliyogonga. Msaada wenu please. Naomba kuwasilisha.
Ajali ni kubwa inazidi laki 3? Bima ya kampuni gani? Mambo yote ya polisi tayari?Hizo zipo na jamaa kasema nimtengenezee ila anadai kupeleka sehem anayotaka yeye je ni sawa kuchangua garage?