Salaam kwa Wadau wote!
Nahitaji msaada wenu kwa wataalamu wa Sheria za Ajira!
Mimi nimeajiriwa katika kampuni binafsi kwa mkataba wa KUDUMU( PERMANENT CONTRACT) tangu mwaka 2013, mwaka jana mwishoni tulipewa taarifa kuwa KAMPUNI imepata mnunuzi ambaye amenunua SHARES zote kwa 100% kwa hiyo taratibu zinafanyika ili waweze kukabidhiana kwa kufuata sheria za TANZANIA, tulipewa taarifa kuwa shughuli za kiofisi na majukumu ya kila mfanyakazi yataendelea kama kawaida kwa kipindi chote tunachosubiri makabidhiano rasmi ya mauziano kwa wahusika!
Msaada ninaohitaji toka kwenu ni kujua je ni FIDIA au MAFAO gani ambayo nitayapata kwa KUSITISHWA MKATABA wangu katika MAZINGIRA Haya endapo mnunuzi hatanihitaji kuendelea na mkataba wangu, je endapo atanihitaji kuendelea nami je itabidi nisaini mkataba mwingine au itakuwaje maana MNUNUZI kwa mujibu wa taratibu zake za AJIRA hatoi MIKATABA ya KUDUMU na anatumia AGENT katika KUAJIRI!!
Natanguliza shukrani
BussyB