UGOKO MKAVU
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 202
- 78
Jana mtandao wa voda uligoma kutokana na hitilafu iliyotokea katika mitambo yao na hivyo kuleta usumbufu kwa wateja wake mmoja wapo ni mimi. Ina maana kuwa shughuli zote za kibiashara zilizohusisha mtandao huu zilisimama kwa masaa kadhaa....Je, kuna sheria yeyote inayosimamia kulipwa fidia kwa wateja endapo dhahama kama hii itatokea?