Wadau naomba kuuliza ni sehemu gani nzuri kwenda kufanya field kwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza anachukua B.Sc. Electrical Eng. Sehemu unapoweza jifunza basic za mwanzo muhimu katika fani hii ya umeme
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.