Idd Omary
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 250
- 37
Hii imekuwa chemsha bongo kwa first year ya mwenge kwa tunaochukua statistics kuambiwa tutafute field ya kufanyia practice na ndo kwanza hata hatuna kitu kichwani!!
Kwa mwenye uzoefu wa hii ishu na alishafanya field ya utakwimu kwenye office yoyote naomba atupie namba yake hapa tuongeee hatutashindwana jameni!!
Thanks a lot!
Kwa mwenye uzoefu wa hii ishu na alishafanya field ya utakwimu kwenye office yoyote naomba atupie namba yake hapa tuongeee hatutashindwana jameni!!
Thanks a lot!