Field Marshal John Okello ni mwanamapinduzi au missionari

Field Marshal John Okello ni mwanamapinduzi au missionari

Mapinduzi tukufu ni hali ya wazalendo wa nchi kufanya mabadiliko ya uongozi dhalimu kwa njia ya mapambano iwe ya kumwaga damu au bila kumwaga damu.
Mapinduzi matukufu watu wanakula mlo moja kwa siku kama mashetani??
 
Sultani na wajukuu zake wote waliofukuziliwa mbali na mkristu okello

Kweli umechoka , kwani usiku ulikuwa ukicheza ngoma na asubuhi unakimbiza mwenge ,

hivi mwenge mliukimbiza watu wangapi??
 
Mleta uzi hivi upo timamu kweli, unaposema Zanzibar isingeungana na Tanganyika. You would have been better off....
Kama wewe ni mzanzibari basi mtazamo wako ni finyu mno.

Ni kweli sasa unampinga kitu gani? Kabla ya muungano ZNZ ilikuwa ni dola yenye nguvu Afrika na ilitambuliwa dunia nzima. Kumbuka ile methali ya Kiswahili isemayo zumari likipulizwa ZNZ wanacheza mpaka maziwa makuu. Pia, soma kitabu cha Hussein Bashir kiitwacho Dola Kongwe ya Zanzibar.
 
Sijui kuna uhusiano gani kati ya uislam na kulalamika kuonewa...anyway_ntajaribu kufanya utafiti wa hilo.
Maake waislam kwa kulalamika kuonewa mmezidi.
Kuna muda inabidi utofautishe Uislamu na Waislamu...siyo kila alifanyalo Muislamu ni la kiislamu..Nyingine silka binafsi au za jamii husika..na watu hupenda kulijumuisha jambo lake na dini/kabila/rangi ili apate support....
 
Back
Top Bottom