Field Zanzibar

Field Zanzibar

Mmmh aseee!, ni sawa JF ni jukwaa huru kabisa ila sometimes nawaomba vijana wenye damu inayochemka tupunguze lugha zenye ukakasi.

Ndiyo maana huwa naona yule mh. anawajibu kuwa bundle likiwa gharama ya chini sana mnakosa cha kuandika, mnaanza kutukana ovyo.
 
Jazia nyama profile yako.
Umesomea fani gani?

Utapendelea kufanya kazi mkoa gani kati ya kaskazini, kusini au mjini magharibi?

Ni field tu au na maslahi yawepo?
High season ipo njiani
 
Jazia nyama profile yako.
Umesomea fani gani?

Utapendelea kufanya kazi mkoa gani kati ya kaskazini, kusini au mjini magharibi?

Ni field tu au na maslahi yawepo?
High season ipo njiani
Habar yko kaka
naomba unisaidie na mie kaka nafasi ya field nina bachelor ya Business Administration
Naishi Unguja
 
Back
Top Bottom