BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Nimependa hapo ulipozungumzia suala LA malipo.Muhim sana.Ruge, sikia kilio chetu
Sisi wapenzi wa Fiest tunahitaji Dr Shika awepo siku ya Fiesta.
Mnazima taa, muziki unazimwa. Panakuwa kimyaaaaaaaa
Mkija kuwasha taa raia wanamuona Dr Shika juu ya stage, shangwe lake sio la nchi hii
Tafadhali sana Ruge, mlete jamaa. Sema usimtumie bila malipo brother
Kweli itapendeza maana atafunika uwepo wa Mako kule EfmRuge, sikia kilio chetu
Sisi wapenzi wa Fiest tunahitaji Dr Shika awepo siku ya Fiesta.
Mnazima taa, muziki unazimwa. Panakuwa kimyaaaaaaaa
Mkija kuwasha taa raia wanamuona Dr Shika juu ya stage, shangwe lake sio la nchi hii
Tafadhali sana Ruge, mlete jamaa. Sema usimtumie bila malipo brother
WHY not, ana make an "Appearance", sababu ni Celeb wetu sasa, na ndio lazima Ruge akate mchuzi, ITAPENDEZA ZAIDI..Ruge, sikia kilio chetu. Sisi wapenzi wa Fiest tunahitaji Dr Shika awepo siku ya Fiesta.Mnazima taa, muziki unazimwa. Panakuwa kimyaaaaaaaa. Mkija kuwasha taa raia wanamuona Dr Shika juu ya stage, shangwe lake sio la nchi hi. Tafadhali sana Ruge, mlete jamaa. Sema usimtumie bila malipo brother