BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Ruge, sikia kilio chetu
Sisi wapenzi wa Fiest tunahitaji Dr Shika awepo siku ya Fiesta.
Mnazima taa, muziki unazimwa. Panakuwa kimyaaaaaaaa
Mkija kuwasha taa raia wanamuona Dr Shika juu ya stage, shangwe lake sio la nchi hii
Tafadhali sana Ruge, mlete jamaa. Sema usimtumie bila malipo brother