Rapherl
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 3,504
- 2,256
- Thread starter
- #21
Hao Clouds wanaofisi, msanii si mtu mdogo kama unavyotaka kuaminisha watu....hiyo hapo ni biashara kubwa sana kwa Clouds....atleast heshimu anayekupa kulaNimeamini upeo wa watanzania katika kuelewa mambo ni mdogo sana.!!
Sisi watanzania ni wagumu sana kuelewa vitu.... ,hata sioni sababu ya mtu kuja hapa na kumwaga povu lote hili kwa hoja zisizo na msingi!
Kwanza kama wasanii wenyewe wamekubali wewe kinachokuuma ni nini?
Na hawajasema wanafanya usahili ni USAJILI,hilo neno limetumika vibaya tu ila kwa maana nyingine WANASAINISHA WASANII MIKATABA KWAAJILI YA FIESTA.
Walishindwa nini kuwaita mmoja mmoja tena ofisini tena mbele ya Mawakili(wataalamu) wa mikataba wakawasainisha privately then wakafanya hata pre fiesta party ya kuwatambulisha?
Kuwakusanya hivyo ni kuwadharaulisha kwa mashabiki wao...nchi za watu wastaarabu wanaoheshimu talents za watu hawafanyi dharau hizo.
Mwisho wa siku wanaenda kuwajaza kwenye dala dala na kuwazungusha tanzania nzima kama kundi la wanafunzi walio kwenye study tour....
Inashangaza!