FIESTA: Hii haikubaliki!

Hao Clouds wanaofisi, msanii si mtu mdogo kama unavyotaka kuaminisha watu....hiyo hapo ni biashara kubwa sana kwa Clouds....atleast heshimu anayekupa kula

Walishindwa nini kuwaita mmoja mmoja tena ofisini tena mbele ya Mawakili(wataalamu) wa mikataba wakawasainisha privately then wakafanya hata pre fiesta party ya kuwatambulisha?

Kuwakusanya hivyo ni kuwadharaulisha kwa mashabiki wao...nchi za watu wastaarabu wanaoheshimu talents za watu hawafanyi dharau hizo.

Mwisho wa siku wanaenda kuwajaza kwenye dala dala na kuwazungusha tanzania nzima kama kundi la wanafunzi walio kwenye study tour....

Inashangaza!
 
Hebu soma tena ulichokiandika mkuu.
Nadhani una chuki binafsi na uongozi wa CLOUDS.
 
Hebu soma trna ulichokiandika mkuu.
Nadhani una chuki binafsi na uongozi wa CLOUDS.
Kutokuwapenda tu siwapendi kiukweli....lakini hiyo ni mada nyingine anzisha thread nitakujibu

Jikite kwenye mada husika....CLOUDS FIEASTA.
 
Unahisi ulichokiandika ni sahihi?
Je upo sahihi kuwatukana waTanzania wote kwa kutumia thread hii kweli?
Pumbavu mkubwa wewe.
 
Mkuu labda Ulisoma vibaya. Mimi sikuandika USAHILI. Niliandika USAJILI kabisa. Sijafanya corrections zozote kwenye Uzi wangu. Ila anyway,labda nilikosea.

Kama nilikosea basi naomba Marekebisho hapo juu yahusike.
Uzi wenyewe huu hapa
Usajili wa wasanii Fiesta 2016
 
Mnapoooonda si shangai wabongo wengi wanafki ukichunguza bongo, vinavyo pondwa ndivyo vinavyo pendwa na watu wengi. Mimi si shangai wanchofanya cloudsfm ni kucreate attention kwa tamasha lao, sijaona kudhalilishwa kwa msanii yoyote, je na kama wasingefanya usajili, wangefanya kama wafanyavyo miaka yote watu bado wangeongea. Taifa letu hasa vijana limekuwa taifa la walalamikaji na wapondaji tubadilike.
 
Watu wamesoma degree zao kabla ya vibarua wanafanyiwa usaili, itakuwa hawa waimba vuduku, we vipi?
 
Huyu ndugu yetu shoo za vichochoroni hafanyi ........ au ni vile ana mkataba na Vodacom na kule fiesta kuna tigo.
 
Jaman naomba kuuliza ni vipi mnasema hii redio inawanyonya hao wasanii kwa sheria zp zilizopo hapa bongo hazitekelezwi ambazo redio mawingu haizifati kwa masirahi ya hao wasanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…