Ukweli wasanii wengi ni feki kuanzia lifestyle zao, uvaaji, maadili yao na pia muziki wao wa kuiga nchi za nje na inafikia hatua wanaiba tune,beat hadi nyimbo nzima wanaibadili kwa kiswahili ili iitwe hit song, me nadhani kinachohitajika ni kuacha kutengeneza makundi na ubaguzi kwenye sanaa maana ni ukweli usiojificha kuwa kuna watu mnawatengeneza kama wasanii wenu na kuna wasanii wana uwezo mkubwa na hawapewi nafasi.
Tuache dhima ya matabaka na kubaguana na kupeana nafasi kisa tunajuana naamini kuna wasanii wana uwezo mkubwa ila kisa hawawasujudii mnawaacha na kuna wasanii wanawasujudia na ndo maana mnawachukua kila kukicha ila inafika hatua hata wao wanakosa ladha mnawaacha.
Kama hii fiesta ingetumika kama kuondoa ubaguzi, matabaka na uungu mtu kwenye muziki basi naamini ingeleta mabadiliko makubwa katika muziki lakini local when the artist are not local on their own tunadanganyana labda tuleteeni akina mrisho mpoto lakini sio vidada vimevaa mwili wote nje na kujibinunua binua kwenye stage, nywele feki, kucha feki, kila kitu feki na muite local.
Tuache ubaguzi na matabaka