music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Unamaanisha ya view ya juu kama hii ya show ya Efm jana mtwara? Sijabahatika kuiona katika upekuzi wangu japo najua clouds drone wanayo.Tungepata top view zile zinazochukuliwa na drone , ndio tungejua hapa nyingi ni front view, ila mm mwenyewe nilihisi itakuwa doro.
Nyomi la hatari.Unamaanisha ya view ya juu kama hii ya show ya Efm jana mtwara? Sijabahatika kuiona katika upekuzi wangu japo najua clouds drone wanayo. View attachment 882104
YAH ,view kama hiyo ndio ninayoitaka.Unamaanisha ya view ya juu kama hii ya show ya Efm jana mtwara? Sijabahatika kuiona katika upekuzi wangu japo najua clouds drone wanayo. View attachment 882104
Wasafi festival
hiyo ndiyo maana halisi ya uchawi.Akuna mtanzania asiye Na tabia za kitanzania .... Tabia zetu tuna mshusha mmoja Na kumpandisha mwengine
Hata hao unaowatetea ndio Kazi yao ni kumshusha mmoja na kumpandisha mwengine only.Akuna mtanzania asiye Na tabia za kitanzania .... Tabia zetu tuna mshusha mmoja Na kumpandisha mwengine
duuuhh jamaa nao wana tisha " Eeehh "??!! sio kwa hilo Nyomi AiseUnamaanisha ya view ya juu kama hii ya show ya Efm jana mtwara? Sijabahatika kuiona katika upekuzi wangu japo najua clouds drone wanayo. View attachment 882104
Majay hana kelele ila yupo vizuri sana ata radio yake ina pesa ndefu.duuuhh jamaa nao wana tisha " Eeehh "??!! sio kwa hilo Nyomi Aise
Mzee Mwinyi ana msemo kila zama na vitabu vyake. Wajitafakari na kurekebisha wanapokosea kabla awajaanguka kabisa.Siwaelewi kabisa mawingu mwaka huu
Hizi ndo picha sasa sio hizo za angleUnamaanisha ya view ya juu kama hii ya show ya Efm jana mtwara? Sijabahatika kuiona katika upekuzi wangu japo najua clouds drone wanayo. View attachment 882104
Sasa basi ni watanzani wachache ambao si wachawi