Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
wasafi festival ife kwani imewahi kuwa hai lini?kwani wasafi festival haiwezi kufana mpaka fiesta ife??
au fiesta haiwezi kufana mpaka wasafi festival ife??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wasafi festival ife kwani imewahi kuwa hai lini?kwani wasafi festival haiwezi kufana mpaka fiesta ife??
au fiesta haiwezi kufana mpaka wasafi festival ife??
hawako serious kabisa😁hahahah et Fid Q ndo alkuwa man of the match hahahahhh
Sio Maua Sama aliyefanyiwa promo na Sudi hadi wakaingia selo?[emoji16][emoji16][emoji16]hahahah et Fid Q ndo alkuwa man of the match hahahahhh
Duuuuh atupoi hakikaUnamaanisha ya view ya juu kama hii ya show ya Efm jana mtwara? Sijabahatika kuiona katika upekuzi wangu japo najua clouds drone wanayo. View attachment 882104
Sasa hivi mambo yote EFM atupoiMzee Mwinyi ana msemo kila zama na vitabu vyake. Wajitafakari na kurekebisha wanapokosea kabla awajaanguka kabisa.
Ahahahaahahhahahahahahah vibe kushneyVibe Lilikua je
[emoji3][emoji3]Ahahahaahahhahahahahahah vibe kushney
......atupoi ndio nini mkuu?Sasa hivi mambo yote EFM atupoi
ovyooVibe kama loteeeeee
Kumbukeni kwamba hii ya EFM ni show ya bure!!Unamaanisha ya view ya juu kama hii ya show ya Efm jana mtwara? Sijabahatika kuiona katika upekuzi wangu japo najua clouds drone wanayo. View attachment 882104
Ndiyo maana ya ushindani ww charge pesa wenzako wafanya bure ili kukuza biashara yao kwanza.Kumbukeni kwamba hii ya EFM ni show ya bure!!
Unaingia mlangoni unaonyesa buku na simu unaenda kuchezeshwa biko icho ndo kiingilio chaoKumbukeni kwamba hii ya EFM ni show ya bure!!
Show ya bure huwezi kuilinganisha na show ya hela..Mziki Mnene Unakuja Wiki Hii Hapo Moro
Clouds kazi wanayo lazima tuwaambie ukweli wasijekusema hawakuambiwa!