Apta Kayla
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 324
- 73
Ndugu yangu hivi kweli umeamua kuripoti Fiesta humu Jamvini?Mtaniwia radhi mi si shabiki wa mziki wa vijana hasa hawa wabana pua na kujikoboa sura!

Naona show zinaendelea japo wasanii siwajui hata mmoja kabisa!
umecrem kuwa JF ni mambo ya ccm na chadema tu?Ndugu yangu hivi kweli umeamua kuripoti Fiesta humu Jamvini?

Ndugu yangu hivi kweli umeamua kuripoti Fiesta humu Jamvini?

Mtaniwia radhi mi si shabiki wa mziki wa vijana hasa hawa wabana pua na kujikoboa sura!

Naona show zinaendelea japo wasanii siwajui hata mmoja kabisa!

umecrem kuwa JF ni mambo ya ccm na chadema tu?

Hivi hawa watumbuizaji wanaimba music au wanasikiliza music
Bandugu mwenye kujua maana ya hili neno anisaidie (CREM)umecrem kuwa JF ni mambo ya ccm na chadema tu?

Nipo zangu naangalia itv Bss

Bandugu mwenye kujua maana ya hili neno anisaidie (CREM)