Fiesta on Clouds TV

Fiesta on Clouds TV

Apta Kayla

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
324
Reaction score
73
Kwa wale tulioshindwa kufika Leaders, the show is live on CLOUDS TV

Mtaniwia radhi mi si shabiki wa mziki wa vijana hasa hawa wabana pua na kujikoboa sura!

Naona show zinaendelea japo wasanii siwajui hata mmoja kabisa!

Mtaniwia radhi mi si shabiki wa mziki wa vijana hasa hawa wabana pua na kujikoboa sura!

Naona show zinaendelea japo wasanii siwajui hata mmoja kabisa!
Ndugu yangu hivi kweli umeamua kuripoti Fiesta humu Jamvini?

Ndugu yangu hivi kweli umeamua kuripoti Fiesta humu Jamvini?

Uhabarishaji ni jambo gumu sana ndugu yangu hata kama hulipendi basi tunalileta ktk mfumo msonge!

Binafsi siamini kama linatija kwa taifa au vipajipa vya wasanii wa nchii hii!

Mtaniwia radhi mi si shabiki wa mziki wa vijana hasa hawa wabana pua na kujikoboa sura!

Naona show zinaendelea japo wasanii siwajui hata mmoja kabisa!

ondoa huu uchafu huku mods

Ndgu yangu hyo co burudani ni kero,hakuna radha kwani wasanii wote wana2mia playback..labda wanao2mia live band kdgo

Inakera sana! Niliwahi kushuhudia fiesta kule Iraq kwakweli nilifurahi japo sikujua lugha wanayotumia ya Kikurd!

Kwangu mimi msanii angalau niliyemsikia ni yule anayei sijui "Wanaiita ndolemaa"

Ludacris akipanda ndo ntaichek, hafu Hii Clouds tv niaje,.mbona haiko clear hata kwenye king'amuzi.

Back
Top Bottom