Fiesta sumbawanga

Fiesta sumbawanga

gambakhuffu

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2010
Posts
488
Reaction score
504
FIESTA SUMBAWANGA...

hadi sasa hakuna tiketi iliyonunuliwa ila uwanjan tayari watu wameshajaa
[emoji74][emoji74][emoji74][emoji74]shikamooni wafipa wenzangu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]najua hawapendagi ujinga
 
Mkuu nini soda yako kama utatuwekea picha hapa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Taituuuu!!!!.... Tayeeee. Usisahau pia kuna Wasukuma kibao kule bonde la ziwa Rukwa
 
Sipendi namna clouds na ile jingo yao ya wema mpaka paka wamo!haina mantik vipo vingi vya kuitangaza swanga si kwa uchawi/ushirikina kama wanavyotangaza!!!
 
Watakua wameingia kinyume nyume au konani teh teh...... clouds nao hawakujipanga mganga ndo angeuza tiketi, mikoa mingine sio ya kuingia kichwa kichwa
 
Nimeimisi sana sumbawanga enzi zangu za kantalamba sec.Sipati picha mitaa ya chanji,kizwite,izia,majengo,sumbawanga wenyeji,jangwani japo nasikia kwa sasa sumbawanga imechangamka sana tofauti na kipindi tuko huko.Sante kalesaaaaaaaaa
 
FIESTA SUMBAWANGA...

hadi sasa hakuna tiketi iliyonunuliwa ila uwanjan tayari watu wameshajaa
[emoji74][emoji74][emoji74][emoji74]shikamooni wafipa wenzangu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]najua hawapendagi ujinga

hahahahaaaaa, dah. Wamtafute fundi mapema, unaweza ukashangaa inapiga mvua na radi za kutosha eneo la uwanja Tu.
FIESTA SUMBAWANGA...

hadi sasa hakuna tiketi iliyonunuliwa ila uwanjan tayari watu wameshajaa
[emoji74][emoji74][emoji74][emoji74]shikamooni wafipa wenzangu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]najua hawapendagi ujinga
FIESTA SUMBAWANGA...

hadi sasa hakuna tiketi iliyonunuliwa ila uwanjan tayari watu wameshajaa
[emoji74][emoji74][emoji74][emoji74]shikamooni wafipa wenzangu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]najua hawapendagi ujinga
FIESTA SUMBAWANGA...

hadi sasa hakuna tiketi iliyonunuliwa ila uwanjan tayari watu wameshajaa
[emoji74][emoji74][emoji74][emoji74]shikamooni wafipa wenzangu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]najua hawapendagi ujinga
 
Ambao hawajafika sumbawanga wanadhani kuna uchawi sana, kumbe ni tofauti sana na the way watu wanavoitangaza.
 
yaani hawa jamaa clouds,walianza na Dodoma wakasema pale kati patamu sasa wamekuja na mpaka paka wamo,duh
 
Back
Top Bottom