Labda nimepitwa na mengi, hivi huyu jamaa ametoa ngoma kali mpya au atapiga zilezile za zamani? au ni ngurumo ya radi tu ambayo ndiyo imempa shavu mwaka huu? ,nyimbo ambayo ni ngumu kumeza pia ..nipo hapa najiuliza tarehe 22 niende kumuangalia huyu jamaa(sikatai kama ni mkali saaana ,lakini ina maana clouds mwaka huu wameshindwa kabisa kumpata staa anayehit kuliko wote kwa sasa ambaye ndiye atakayefunga tamasha? Yaani nimsubiri Ali Kiba mpaka saa 8/9 kweli? miaka mingine kweli lakini siyo mwaka huu!!Dogo mwakani hebu jitahidi angalau na hiyo team yako mtoe kali za maana...umepotezwa sana!! BTW, siko team yeyote!...Povu Poa Pia