Fiesta ya Ali Kiba 2018 ,Dilemma

Fiesta ya Ali Kiba 2018 ,Dilemma

ngongoti2000

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2017
Posts
2,236
Reaction score
2,142
Labda nimepitwa na mengi, hivi huyu jamaa ametoa ngoma kali mpya au atapiga zilezile za zamani? au ni ngurumo ya radi tu ambayo ndiyo imempa shavu mwaka huu? ,nyimbo ambayo ni ngumu kumeza pia ..nipo hapa najiuliza tarehe 22 niende kumuangalia huyu jamaa(sikatai kama ni mkali saaana ,lakini ina maana clouds mwaka huu wameshindwa kabisa kumpata staa anayehit kuliko wote kwa sasa ambaye ndiye atakayefunga tamasha? Yaani nimsubiri Ali Kiba mpaka saa 8/9 kweli? miaka mingine kweli lakini siyo mwaka huu!!Dogo mwakani hebu jitahidi angalau na hiyo team yako mtoe kali za maana...umepotezwa sana!! BTW, siko team yeyote!...Povu Poa Pia
 
Tatizo la kiba ni dogo sana kama akilitambua!
Aache kushindana na WCB ye afanye mambo yake kama yeye!
Kushindana na mtu asoshindana na wewe ni kazi ngumu sana
 
Outdated mind on fleek, envy will kill most guys if they won't change their mindset
 
ALIKIBA ameshaachia nyimbo kwa ajili ya Fiesta tayari... Inaitwa KADOGO.
 
Nyimbo zake hazipati Kiki kwasababu WCB hawaizungumzii hiyo ngoma. Shangwe la upande mmoja.
 
King Kiba ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
He is talented huwezi muona anarukaruka stejin kama vile kapandwa na kichaa.
Anajua kuwapa watu burudani
 
Naupenda ule wimbo wa "Toto" haswa wanapoimba wale vijana wawili wa kwanza
 
Back
Top Bottom