Fiesta ya cloudsfm jijini Dar. Show ya Jidejaydee na vinega chini ya EA redio siku moja.

Fiesta ya cloudsfm jijini Dar. Show ya Jidejaydee na vinega chini ya EA redio siku moja.

Hakuna Siku niliyo boreka na mawingu kama siku Ruge aliposema Jide akubali kwamba muziki ni kama mbio za kupokezana vijiti soJide akubali kushindwa.... Aliniboa sana yule mwanaume na alivyo jidai kua yeye ndo mbabe wa mwisho na kuagiza eti siku hiyo wapige Nyimbo za dini tu - Ambapo sio vibaya lakini kwanini siku hiyo tu?........ Since then hamu ya kuwasikiliza ilikata jumla.

Hakuna marefu yasiyo kua na ncha. I HATE CLOUDS WITH ALL MY HEART & SOUL. LONG LIVE JIDE.
 
Itakuwa vita ya ajabu hiyo, kama ni kushindana nani zaidi.... Jaydee anataka kupoteza Mashabiki wake, Personal issues anazid kuziRaise2 siyo ujanja kwa wanaofikiri kwa umakini....... Sasa kwa mfano; Fiesta akidondoshwa mmoja kati ya hawa Chris B, Beyonce, Lady GAga, nicki Minaj, Kanye west... Unategemea itakuwaje, Halaf hat hvyo ingekuwa wasanii wengine pia hawa isupport CLOUDZ hapo sawa, ila Bado wasanii wakali na mashuhuri wako beneath na Cloudz... Hapo ndo shida!!
 
Huyu jamaa kuku kweli yan,inamaana yaliyotokea kwa mwanaFatuma na Anaconda mwez june hukusikia eeeee
 
hakuna marefu mwisho yasifikie,hata dola ya amerika kuna siku itapotea,ndio kinachowatokea klauz efuem
 
Back
Top Bottom