Fiesta ya mwaka huu ina hatari ya kudorora

milangomitatu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,469
Reaction score
1,166
FIESTA kwa sasa inaweza isiwe na mvuto sababu kwanza wasanii wakubwa wa Tanzania hawataperform Alikiba Diamond Vanessa Navy Kenzo la pili FIESTA ilikuwa zamani mnasikilizia nani msanii Mkubwa anakuja mnafuatilia toka Marekani na walivyokuwa wajanja akija wanamweka mwishoni Mara nyingi FIESTA ilikuwa watu wanafuatilia hilo ila sasa Bongo flavour ipo ipo na mbaya zaidi wasanii wa sasa watakaoperform kwenye FIESTA hawana mashabiki wengi kabisa hvyo watu watabaki Kahama(Kiba) na Mtwara (Diamond) na watu walikuwa wanasafiri kwa sababu ya FIESTA imagine kama Clouds wangemleta Drake au Lilwayne ingekuwaje?miaka 4 ya karibuni tusiwe waongo clouds wamepata hela sana sababu ya bifu la KIBA na DIAMOND ila hawa jamaa kama wameanza kupata akili vizuri na clouds bila kutegemea wamekuta mmoja yupo Kahama na mwingine mtwara siku moja trh 24 wanageuka nyuma wanakuta wasanii watakaoperform bado sana ni (wakubwa )tatizo hao wasanii mashabiki hawana wa kutosha next time Clouds wajipange kuleta msanii mwenye mashabiki na watu watakuwa na hamu ya kumuona hao wasanii waliozunguka nao mikoani na watu wakajaa wasitegemee Dar itakuwa hvyo hili ni Jiji la Kijanja na ndo maana WASAFI wanapiga promo kali wakijua clouds hawana msanii ambaye ana hits za kutosha za kuteka mashabiki
 
Hawaamini wanachokiona
 
hawa wazee kinachowatafuna ni kule kuonea watu wengi Sana'a,ushahid ni namna watu wanavyojitokeza kulaumu.Kimsingi hii inaitwa KARMA.Kama ulimfanyia mwenzio nawe lazima yakukute
 
Tatizo Diamond ni one man show...ushaur wangu ajitahd kuijenga wasafi independent...lolote laweza kutokea, kuna kufa, kushuka kimziki, magonjwa n.k mana ndo dunia yetu...ikitokea hvo wasafi inakuwa kichekesho....umaarufu wake autumie kuijenga isimame yenyewe.
 
Bila diamond Wasafi itakufaaaa kabisaa..! So kiukweli asijenge chuki sana na Media zingne maana kuna keshoo na hakuna ajuaee kesho
 
alafu inaonekana hii sredi umeandika sa 6 usiku, vipi ukiota ndoto?
 
Haitodorora hata kidogo matamasha yote yatajaza nyomi.
 
Watajaa tu!...issue ni kwamba fiesta ni mtoko wa watoto na watu wazima -watoto wasiojua starehe so watajaa tu!!starehe gani mnakanyagana,kuibiana kila aina ya kero!!nasikia ukiwa mbelembele huwezi toka mpaka tamasha liishe hata kukojoa humohumo!!da!
 
Watajaa tu!...issue ni kwamba fiesta ni mtoko wa watoto na watu wazima -watoto wasiojua starehe so watajaa tu!!starehe gani mnakanyagana,kuibiana kila aina ya kero!!nasikia ukiwa mbelembele huwezi toka mpaka tamasha liishe hata kukojoa humohumo!!da!
Ukiwa mbele ndo utafunga show, mpak show imeisha umeibiwa mpak boxer .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…