milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,166
FIESTA kwa sasa inaweza isiwe na mvuto sababu kwanza wasanii wakubwa wa Tanzania hawataperform Alikiba Diamond Vanessa Navy Kenzo la pili FIESTA ilikuwa zamani mnasikilizia nani msanii Mkubwa anakuja mnafuatilia toka Marekani na walivyokuwa wajanja akija wanamweka mwishoni Mara nyingi FIESTA ilikuwa watu wanafuatilia hilo ila sasa Bongo flavour ipo ipo na mbaya zaidi wasanii wa sasa watakaoperform kwenye FIESTA hawana mashabiki wengi kabisa hvyo watu watabaki Kahama(Kiba) na Mtwara (Diamond) na watu walikuwa wanasafiri kwa sababu ya FIESTA imagine kama Clouds wangemleta Drake au Lilwayne ingekuwaje?miaka 4 ya karibuni tusiwe waongo clouds wamepata hela sana sababu ya bifu la KIBA na DIAMOND ila hawa jamaa kama wameanza kupata akili vizuri na clouds bila kutegemea wamekuta mmoja yupo Kahama na mwingine mtwara siku moja trh 24 wanageuka nyuma wanakuta wasanii watakaoperform bado sana ni (wakubwa )tatizo hao wasanii mashabiki hawana wa kutosha next time Clouds wajipange kuleta msanii mwenye mashabiki na watu watakuwa na hamu ya kumuona hao wasanii waliozunguka nao mikoani na watu wakajaa wasitegemee Dar itakuwa hvyo hili ni Jiji la Kijanja na ndo maana WASAFI wanapiga promo kali wakijua clouds hawana msanii ambaye ana hits za kutosha za kuteka mashabiki