fiesta....

fiesta....

....u mutima wange ni wewe....

I lov huu wimbo saaanaaa...
 
Tha song is gud data
 
Last edited by a moderator:
Daah mbona sound system mbovu? Na live-stream hapa naona kwa tv inazingua.
 
Daah mbona sound system mbovu? Na live-stream hapa naona kwa tv inazingua.
., mie napata kwaliti ya HD hapa..

Kama ngoma la ki awingo laingia ghafla.. Kumbe msechu...
 
Peter Msechu..... He's doin it LIVE..
 
Yess data msechu kanikumbusha kwenye ile tusker aliyoshirik na kina davis mzee wa mauno
 
Last edited by a moderator:
Jmn hii antena hii inakunyima burudan @Heavean on earth
 
Back
Top Bottom