fiesta....

eti we make some NOISE..... Aleni huyo.
 
Watoto wa uswazi wanaelewa kweli ngeli na nomino? Au ndio Alaine anawaacha!
 
Kwanini mnatetemeka. It means hapako hot. So kalaleni. Baada ya hapo mtatangaziwa nendeni maisha club. Hahaaa....!!!. Bogi la bongo si mchezo. Mia
 
Kiuno cha Alaine kina# shanga za kutosha tu kama mzaramo wa chalinze!!she is cute...jicho tamuu...kama la mtoto heaven on Earth
 
Hakyamama watu wengi anawatoa nishai, hapo raia wanasubiri kwa hamu wacheze kukere na Gobe

huyu aleni ashuke fasta... Sema tu ukiwa stim kila kitu wakiona poa..
 
this piano part might be nicest.,.
 
ahsante quick rocker.., international...
 
Daaah aisee nimechoka na usingiz ndo unanizidia hapa ngoja nami ni log off!
 
kama fujo tu sasa...
 
Watoto wa ilala wanaoimba bongo flavor wanazingua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…