Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi nawafahamu. Maneno ni mengi kuliko vitendo. Wasanii wa bongo hawawezi kufanya vizuri sababu hela wanayo pewa haiwatoshi. So wakishapewa mwaliko wanaona hawawezi kukataa hela so wanaendelea na mishemishe zao mwisho wa siku wanapanda jukwaani hadi mistali ya nyimbo zao wanaisahau. Mimi siwalaumu. Ilitakiwa wawape hela ya kuwaweka kambini wafanye mazoezi sasa wewe laki mbili utaifanyia nini?
Mapacha waliwahi kuwauliza kwenye interview ya clouds nyinyi mnapendwa kukipwa kiasi gani fiesta? Wakasema mil 250. Tangia siku hiyo hawajaitwa kwenye interview wala fiesta mia
😛lane:
We Heaven on earth unabahati hii comment sikuiona jana...
mbona naskia wanachukua laki 5 kila wapandapo jukwaa la fiesta.....
Ungiona ungefanyaje? ukianzisha timbwili na Heaven on earth jua unalinzisha na mimi. Mia
Ungiona ungefanyaje? ukianzisha timbwili na Heaven on earth jua unalinzisha na mimi. Mia
We Heaven on earth unabahati hii comment sikuiona jana...
Kiuno cha Alaine kina# shanga za kutosha tu kama mzaramo wa chalinze!!she is cute...jicho tamuu...kama la mtoto heaven on Earth
Acha mkuu, kumbe la Heaven on earth ushalidere? Vp kungu?
nawasubiri akina DAVIDO,....nashangaa matangazo kibao..