Kuna watu wamewahi ku win UEFA kwa goal la offside hatukuona mapovu this is hypocricy
Hata ile fainali na Arsenali 2006 ilichezwa nje ya uwanja.Ni kawaida Barca kupata advantage ya maamuzi kwenye mashindano ya UEFA but PSG wanapaswa kujilaumu kwa approach walioingia nayo kwenye ile mechi
Kabsa mkuu...c unaona waingereza ndo waliomuweka ifantino... Yaan wameumia kinoma...na magazett yao Jana pamoja na pro Madrid yamemshambulia refa vibaya mno..n wataliano na wajureman tuBARCELONA hajawahi kubebebwa View attachment 478908 na hii mechi PSG wala hawajaumia walioumia ni MAN U CHELSEA na MADRID
Kwenye ile mechi kulikuwa na matukio 4 yenye utata dhidi ya PSG lakini ile ya Suarez ilikuwa ya wazi kabisa na ndio lilikuwa goli muhimu sana kwa Barca baada ya Cavani kufunga lile goliIla uzur limeongelewa goal la Suarez pekee...na hyo ndo ilikua imekaa kitapel lakn goal zingne zote zilikua sawa....mm nafkr wachambuz wa soka tungeanza kuichambua Ile penalt na sio kulalamika tu kuwa barca kabebwa
Kushika mpira kwa mascherano hakusababish tuseme Ile n penalt...nafkr psg ndo walishka Mara nying zaid kwenye box....kwa Ile faul ya mess walioweka ukuta waliuzuia ule mpira kwa mkono...hyo sio sababu ya msing...Kwenye ile mechi kulikuwa na matukio 4 yenye utata dhidi ya PSG lakini ile ya Suarez ilikuwa ya wazi kabisa na ndio lilikuwa goli muhimu sana kwa Barca baada ya Cavani kufunga lile goli
1.Mascherano alishika mpira kwenye 18
2.Mascherano alimchezea rafu Di Maria ndani ya 18 na alikiri baada ya mechi
3.Kuangushwa kwa Suarez
4.Kuangushwa kwa Neymar
Referee alikuwa sahihi 100 % , PSG alizidiwa sana tu na zile faul zilikuwa clear .. chek link hii hapa mjionee
Barcelona ni kawaida yao kubebwa pale wanapoitaji matokeo. Mwaka 2011 Thiago Motta alipewa straight red card baada ya Danny Alves kudondoka chini na na kujifanya kapigwa kiwiko. Hii ni kawaida yao wala sio jambo la kushangaza.
Tuliangalia mechi live,Suarez alidiveReferee alikuwa sahihi 100 % , PSG alizidiwa sana tu na zile faul zilikuwa clear .. chek link hii hapa mjionee