FIFA and Questinable calls

FIFA and Questinable calls

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,790
Reaction score
288,165
Kuna watu wamewahi ku win UEFA kwa goal la offside hatukuona mapovu this is hypocricy

Hizi ni habari za FIFA, Barcelona was tricky and cheated the game but no body is blaming them, they had to. Kila mtu analalamikia uamuzi. The referee had a bad game with a lot of poor decisions. Sasa tukiongea povu, wewe hapa ndio unatoa povu.
 
BARCELONA hajawahi kubebebwa
IMG-20170309-WA0003.jpeg
na hii mechi PSG wala hawajaumia walioumia ni MAN U CHELSEA na MADRID
 
Ni kawaida Barca kupata advantage ya maamuzi kwenye mashindano ya UEFA but PSG wanapaswa kujilaumu kwa approach walioingia nayo kwenye ile mechi
Hata ile fainali na Arsenali 2006 ilichezwa nje ya uwanja.
 
BARCELONA hajawahi kubebebwa View attachment 478908 na hii mechi PSG wala hawajaumia walioumia ni MAN U CHELSEA na MADRID
Kabsa mkuu...c unaona waingereza ndo waliomuweka ifantino... Yaan wameumia kinoma...na magazett yao Jana pamoja na pro Madrid yamemshambulia refa vibaya mno..n wataliano na wajureman tu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ila uzur limeongelewa goal la Suarez pekee...na hyo ndo ilikua imekaa kitapel lakn goal zingne zote zilikua sawa....mm nafkr wachambuz wa soka tungeanza kuichambua Ile penalt na sio kulalamika tu kuwa barca kabebwa
 
Kwenye ile mechi kulikuwa na matukio 4 yenye utata dhidi ya PSG lakini ile ya Suarez ilikuwa ya wazi kabisa na ndio lilikuwa goli muhimu sana kwa Barca baada ya Cavani kufunga lile goli

1.Mascherano alishika mpira kwenye 18
2.Mascherano alimchezea rafu Di Maria ndani ya 18 na alikiri baada ya mechi
3.Kuangushwa kwa Suarez
4.Kuangushwa kwa Neymar
 
Kushika mpira kwa mascherano hakusababish tuseme Ile n penalt...nafkr psg ndo walishka Mara nying zaid kwenye box....kwa Ile faul ya mess walioweka ukuta waliuzuia ule mpira kwa mkono...hyo sio sababu ya msing...

Tukio la neymar ndo lilikua Tukio la kwanza na hakika hilo halina mjadala maana it was a clear penalt...tuzungumzie Tukio la Suarez na Di maria...Tukio la Suarez nmeshalizungumzia sana na picha nmekuwekea...labda tuzungumzie Tukio la Di maria kuangushwa

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
Referee alikuwa sahihi 100 % , PSG alizidiwa sana tu na zile faul zilikuwa clear .. chek link hii hapa mjionee

Referee alikuwa sahihi 100 % , PSG alizidiwa sana tu na zile faul zilikuwa clear .. chek link hii hapa mjionee

Barcelona ni kawaida yao kubebwa pale wanapoitaji matokeo. Mwaka 2011 Thiago Motta alipewa straight red card baada ya Danny Alves kudondoka chini na na kujifanya kapigwa kiwiko. Hii ni kawaida yao wala sio jambo la kushangaza.
 
Mkuu umeangalia hiyo link ?
 
Referee alikuwa sahihi 100 % , PSG alizidiwa sana tu na zile faul zilikuwa clear .. chek link hii hapa mjionee

Tuliangalia mechi live,Suarez alidive
na Mascherano alimchezea rafu Di Maria (penalty +yellow card to Mascherano)
 
Back
Top Bottom