Ali Daei ni mu Iran mkuu.Wale wavaa makobasi na mpira wapi na wapi mkuu.
Sasa comoro na south Sudan ni waarabuIran sio Waarabu mkuu... Iran ni Persians,, kwa Kiswahili tunawaita WAAJEMI
Huwezi jua labda wamealikwa...Sasa comoro na south Sudan ni waarabu
Kwanini hawapo?Huwezi jua labda wamealikwa...
Point ni kwamba Iran sio lazima wawepo kwenye hio competition kwasababu wao sio Waarabu...
Majirani zao Iraq ndo Waarabu.... Vp hawa Iraq nao hawapo kwenye hio competition ?
Kama hawapo basi hilo ndo lakuhoji..
Navyojua Wairan siyo Waarab wako close related na Wazungu kuliko Waarabu.Mm ni mpenzi wa mpira sana,huwa nafuatilia michuano mbalimbali hata kama sitoiangalia kwenye TV huwa naangalia kwenye flash score yangu.
Kwa sasa kuna hii FIFA Arab cup inayoendelea huko Qatar, Mpaka Comoro na South Sudan wamo ila Jumuhuri ya Kiislamu Iran haipo.
Kuna tatizo gani ndugu zangu waarabu wa Buza?
Msemaji wa wa Iranvkwa Tanzania ndugu kimsboy unajua chochote cha kutokuwepo kwenye michuano hiyo?
Nadhani itakuwa wanajumuisha mataifa yanayotumia lugha ya kiarabu na Iran hawazungumzi kiarabu. ila kwa south Sudan sina hakika sana kama kiarabu ni moja ya official language yao. Ila washiriki wote waliobakia ukimjumuisha na comoro wanatumia kiarabu kama moja ya official languageSasa comoro na south Sudan ni waarabu
Wazee wa mikeka ni kuangalia odds tu hiyo nani yupo au hayupo siyo ishu sana.
Kiarabu na kiingereza ni lugha Rasmi Sudan ya kusini.Nadhani itakuwa wanajumuisha mataifa yanayotumia lugha ya kiarabu na Iran hawazungumzi kiarabu. ila kwa south Sudan sina hakika sana kama kiarabu ni moja ya official language yao. Ila washiriki wote waliobakia ukimjumuisha na comoro wanatumia kiarabu kama moja ya official lang
Unataka Wairan waende ili wakajilipue au? Nashangaa kombe hili halijawashirikisha vijana wa Boko Haram na wapuuzi wa Msumbiji wanaoua waafrika wenzao bila hatia kisa dini za watu zisizo na mashiko kwetu.Mm ni mpenzi wa mpira sana,huwa nafuatilia michuano mbalimbali hata kama sitoiangalia kwenye TV huwa naangalia kwenye flash score yangu.
Kwa sasa kuna hii FIFA Arab cup inayoendelea huko Qatar, Mpaka Comoro na South Sudan wamo ila Jumuhuri ya Kiislamu Iran haipo.
Kuna tatizo gani ndugu zangu waarabu wa Buza?
Msemaji wa wa Iranvkwa Tanzania ndugu kimsboy unajua chochote cha kutokuwepo kwenye michuano hiyo?
Sometimes Arab ina tafsiri pana! Hapa hawaangalii rangi bali lugha, yaani nchi zinazozungumza Kiarabu! Kwa hii tafsiri ya lugha ndipo unakuta nchi kama Somalia na Comoros nazo zinahesabika kama Arab Countries! Hata ile Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, yaani Arab League kigezo sio rangi bali lugha.Sasa comoro na south Sudan ni waarabu
Umedumazwa na propaganda za Wamarekani na Israel wewe! Hivi kati ya Wairan na hao wengine walio kwenye hilo kombe, ni nani wana makundi ya kujilipua? Hivi una habari hata hao Boko Haram unaowataja hawapo madhehebu ya Iran?! Au umesahau kule Syria ni pamoja na Iran ndio walikuwa mbele kuwafyeka ISIS? Na ndo maana hata moja ya media kubwa USA iliwahi kuandikaUnataka Wairan waende ili wakajilipue au? Nashangaa kombe hili halijawashirikisha vijana wa Boko Haram na wapuuzi wa Msumbiji wanaoua waafrika wenzao bila hatia kisa dini za watu zisizo na mashiko kwetu.
Iran si walikataa wenyewe kwa kusema kama Janjaweed, Boko Haram, na vikundi vingine vya kigaidi vya Kiislam kama havialikwi basi na wao hawataenda kushiriki.Mm ni mpenzi wa mpira sana,huwa nafuatilia michuano mbalimbali hata kama sitoiangalia kwenye TV huwa naangalia kwenye flash score yangu.
Kwa sasa kuna hii FIFA Arab cup inayoendelea huko Qatar, Mpaka Comoro na South Sudan wamo ila Jumuhuri ya Kiislamu Iran haipo.
Kuna tatizo gani ndugu zangu waarabu wa Buza?
Msemaji wa wa Iranvkwa Tanzania ndugu kimsboy unajua chochote cha kutokuwepo kwenye michuano hiyo?