Mkuu si mpaka washinde basi?Brazil watashinda kwa kuwa ni wazoefu but South Africa wamecheza inavyotakiwa
Inawezekana kabisa, mchezo huu sikutarajia ufikie muda huu ukiwa hivi... Kama jana vile...Extra time(30mins),90mins over,2nd minute still 0-0
Ndo inavyotakiwa mpwa, wawakabe mpaka kieleweke hahahaha... African style.Beki wa SA wanakaba watatu kwa mmoja
Mida kama hii huwa haitakiwi kufanya kosa, ndo iliwagharimu Chelsea hehehehehe... mpira huoCant believeeeeeeeeeeeeeeeeeeee